Abdulwahid
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 2,759
- 1,555
Hiyo mkuu bei yake ni 550000Toa specification na bei basi, picha ya kwanza
Power ni 1000W
Ina Bluetooth
Na mambo mengn
Hiyo mkuu bei yake ni 550000Toa specification na bei basi, picha ya kwanza
Smart 40" ipo Sony mkuuSmart?
Ninayo ya 1100 W ni blue ray Wi-Fi nahitaji kubwa zaidi ya hiyo. unayo na ni model gani?Hiyo mkuu bei yake ni 550000
Power ni 1000W
Ina Bluetooth
Na mambo mengn
Ipo 1200W but sio bluerayNinayo ya 1100 W ni blue ray Wi-Fi nahitaji kubwa zaidi ya hiyo. unayo na ni model gani?
OKIpo 1200W but sio blueray
Hii ishauzwa Dulla?Lg led 43"
Used ya UK
Ipo good condition(mpya kasoro box tu)
Bei ni 550000
0777650286, 0718919725
View attachment 1210440View attachment 1210441
Ipo mkuuHii ishauzwa Dulla?
Mkuu hii bei yake ipoje?View attachment 1222396
Sawa Shekhe ngoja tuendelee kujivuta toka kwene levo zetu izi za Home theatre za laki 62.2m
Hii lugha inanukia utapeli nikukumbukaAbdulwahid napata LG 32’ yenye kisimbuzi ndani bajeti 380k
Kivipi dadaHii lugha inanukia utapeli nikukumbuka
Mkuu kama hujapata imetokea hapa second hand but bado iko safiAbdulwahid napata LG 32’ yenye kisimbuzi ndani bajeti 380k
Maduka wanayouza spare za electronicsTv Guard zinauzwa wapi?
Bado ipo mkuuUmeshauza?
Hii projector ni hatari ndugu yani ipo fresh ile mbayaNikikupa Samsung 40 Inch Smart TV unaniongeza shi ngapi?
LTcl smart 32" ni 400000, 40" tunauza 600000View attachment 1195575View attachment 1195580
Na mimi nasubiria jibu hapa...ila aborder na boss waondoe kabisa kwenye list..Iv wakuu kati ya tcl,samsung,lg,boss,aborder ip ina tv nzur
1.kwa uimara
2.mwonekano
3.new fashion
4.etc
900000 mkuuTc
L
Tcl 49" nitaipata mkuu?