Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Princep

Senior Member
Joined
Nov 25, 2016
Messages
157
Points
225

Princep

Senior Member
Joined Nov 25, 2016
157 225
Jamaa hapo juu anauza mpya kwa Hii bei Mkuu Ushauri punguza Bei Boss,Samahani kama Nimekukwaza.
Mwisho kabisa ni 600k.Bei za electronics Hapa Bongo zipo juu tofauti na Zanzibar bei zipo chini,kwa bei hii kupata TCL SMART hapa Bongo ni ngumu sana Mkuu,naiuza kwa sababu tu ila nisingeiuza.
 

Jephta2003

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2008
Messages
4,841
Points
2,000

Jephta2003

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2008
4,841 2,000
Abdulwahid upo poah braza?...nakumbuka uliniuzia tv star x nch 32 miaka miwili imepita ss ilikuwa nzuri sana,,,jana imeungua bana....inatoa sauti tuu haionesh picha(sijui kama tatizo linatengenezeka)...nahitajibTv nyingine nch 32 star X zimesimamaje ss?
Hili tatizo linatengenezeka,kukiwa na giza washa tv halafu mulika na toch kwenye screen wakati tv iko ON utaona picha japo kwa mbali,taa za kumulika ili led ziwake zimeungua,taa zipo madukani nyingi tu,tafuta fundi uitengeneze halafu uiuze,kumbuka kutumia TV Guard
 

Forum statistics

Threads 1,366,850
Members 521,587
Posts 33,379,390
Top