Mzenjibar
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 227
- 292
Kaka abdul hisense inch 32 smart tv mpaka kunifikia mbeya shillingi ngapi?Star x led 550000
star x smart 650000
hisense smart 680000
hisense smart 4k 720000
lg smart 850000
Kaka abdul hisense inch 32 smart tv mpaka kunifikia mbeya shillingi ngapi?Star x led 550000
star x smart 650000
hisense smart 680000
hisense smart 4k 720000
lg smart 850000
490000 kwa sassKaka abdul hisense inch 32 smart tv mpaka kunifikia mbeya shillingi ngapi?
Okay, shukrani kaka490000 kwa sass
Nikuletee tena njoo uchukue mkuu bado ipo..Niletee mbezi Mwisho
32 mkuuInch ngapi??
32 mkuuhii 32" au?
Sawa n Tsh 910,000/=
Samsung inch 65 model TU8300 unazo??in shaa Allah kheri
2400000Samsung inch 65 model TU8300 unazo??
TU7000 tunauza 2100000Je zinakuwa Curved au ???
N'a vp bei ya inch 65 TU7000
TU7000 tunauza 2100000
Kenya hio mzee sio bongoElfu 42 inch 65 kiongozi...?
Ndio Mana najiuliza sana hapa nipo Shule ya kujua tv fake na original kabla ya kwendaIla bado ni hela ndogo sana ukilinganisha na size tajwa hapo juu mkuu.
Utapigwa,Ndio Mana najiuliza sana hapa nipo Shule ya kujua tv fake na original kabla ya kwenda
Utapigwa,
Tv nunua kwa Abdulwahid au mosskiss.
Hawa ndo wafanyabiashara waaminifu zaidi humu ndani.
Kenya hio mzee sio bongo
Utapigwa,
Tv nunua kwa Abdulwahid au mosskiss.
Hawa ndo wafanyabiashara waaminifu zaidi humu ndani.
Jarib kutumia net kujifunza andika tu gugo utaipata mzeeNi sawa na bei gani kwa Tshs...?
Laki tisa hivi na visentNi sawa na bei gani kwa Tshs...?
Jarib kutumia net kujifunza andika tu gugo utaipata mzee
Laki tisa hivi na visent