Special thread: Vipuri vya Magari (Car spare parts)

Special thread: Vipuri vya Magari (Car spare parts)

Nauza gari mbovu kwa ajili ya used spares kama waweza hitaji.
Nauza used spare parts yeyote ya magari ama spare parts mpya,iwe engine mpaka kitu chochote,ila kwa makubaliano maalum,iwe bmw,volkswagen,range rover,merecdes,jeep etc.kwa aliye na mahitaji anaweza ni pm.
Mi nina gari bovu kama waweza hitaji kwa ajili kuuza used spares.
 
Wakuu natafuta serpentine/fan belt ya toyota wish, specification zake hazionekan so anayejua anijuze wakuu! Details:mode no. CBA-ZNE14G, Chasis no. ZNE140030540, engine no. 1ZZ2021318
 
Natafuta Wishborne top and bottom left and right pamoja na bushes za Ni za Nissan Datsun nitapata kwa bei gani?
 
Kwa mahitaji ya used spare parts from Japan tuwasiliane 0784822344
kamtu33 vipi? naomba front grille ya corolla RunX 2002 model na taa ya nyuma kulia ya RunX na vitaa vidogo vya kwenye shavu la kulia vinavoonesha direction unayoenda.
 
kamtu33 vipi? naomba front grille ya corolla RunX 2002 model na taa ya nyuma kulia ya RunX na vitaa vidogo vya kwenye shavu la kulia vinavoonesha direction unayoenda.

Grill show 150,000/-
Real lamp 200,000/-@
Madgud lamp 30,000/-@
 
Hapana hiyo sina ndugu yangu lakini naweza kukutafutia.
Zipo half cuts za pajero GGI, Rav4, suzuki ( grand vitara na escudo) kwa anayehitaji
 
Vile vile kuna grills za magari tofauti tofauti pamoja na shock absorbers za gari za japan, ford, vw na M/benz
 
Je napata shokapu za honda cr-v nyuma na mbele je ni bei gani
 
Vile vile kuna grills za magari tofauti tofauti pamoja na shock absorbers za gari za japan, ford, vw na M/benz
mkuu engine ya rav 4 kili time 1zz cc 1790 inaweza kupatikana kwa kiasi gani?
 
Back
Top Bottom