Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

jua kali kweli kweli ! tunakunywa maji ya malambo tu
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]ungemuongezea na maji yetu sahizi huku tunakunywa ya rangi ya udongo maji safi na salama[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Jina kubwa, sahani tupu!
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]ungemuongezea na maji yetu sahizi huku tunakunywa ya rangi ya udongo maji safi na salama[emoji28][emoji28][emoji28]
hahhaa na hatuugui
 
Nimecheka sana huyu Masoud bana.......anajua sana kutumia akili yake kufikisha ujumbe
 
Anamaanisha nini masoud ?
Serikali ilituahidi "msosi" tukavutiwa na jina la "msosi" lilikuwa jina zuri sana... sasa tulicholetewa ndo hicho unachokiona kwenye sahani hakifanani na jina la msosi....
 
Maneno meeengi ya vi-wonder kwenye presentation ya hiyo vi wonder (kwenye sahani) ndio kiduuuch halafu waiter ndio anamalizia baada ya yote haya na kuna powercut[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…