Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Mbona manispaa ya Kigoma ujiji imeacha matak0 wazi tetetetetetete
 
Asipopewa onyo kwa hii katuni sijui.....ila nimecheka sana kwenye hako ka kivuli cha mat.ako😀😀😀
 
Masood, atachukiwa Kama mange... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kibamia tu
 
serikali imeitaka manispaa y Kigoma ujiji ijitoe ktk mradi w kujiendesha kiuwaz unaofadhiliw n UN huko, nahic kitu kama hiko
 
serikali imeitaka manispaa y Kigoma ujiji ijitoe ktk mradi w kujiendesha kiuwaz unaofadhiliw n UN huko, nahic kitu kama hiko
 
Nashauri baadhi ya wilaya za mkoa wa pwani zimegwe na kuunganishwa na mkoa wa Dar ili kupanua zaidi jiji
 
Kikawaida shetani hupendelea kufanya mambo yake gizani.
 
Umenena vyema kwenye tumbo hawataki kuonwa wapo gizani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…