Hivi vitu vya kukejeli hivyo watu vina gharama zake japo ndio njia yake ya kutafuta mkate wa wanawe..ila akianza kulipia gharama zake asipige kelele..hata wachoraji la jarida la charlie hebdo kule ufaransa walilipia gharama za kuchora watu kwa kigezo za vikatuni.