Niliposoma "malaika mkuu wa kikosi cha anga" nikajua ni mtu. ππππMalaika Mkuu wa Kikosi Maalum cha Ulinzi wa anga
View attachment 2432244
Kweli huyo ni malaika mkuu wa anga, maana hata Putin anamjua. πππ
Niliposoma "malaika mkuu wa kikosi cha anga" nikajua ni mtu. ππππMalaika Mkuu wa Kikosi Maalum cha Ulinzi wa anga
View attachment 2432244
Nimependa sana hayo majibu. Yanajitoshereza. ππZelensky invites Musk to visit Ukraine before offering 'peace formula'
"If you want to understand what Russia has done here, come to Ukraine and you will see it with your own eyes.
After that, you will tell us how to end this war, who started it and when we can end it,"
View attachment 2432274
Hebu tutajie kijiji/eneo walilosogea mdogo mdogoWarusi wamekomaa kwelikweli na wanasogea mdogomdogo
Mara ya mwisho nakumbuka ulisema wanaingia katikati ya mji. Nikakuuliza wanatokea wapi hujajinijibu.Warusi wamekomaa kwelikweli na wanasogea mdogomdogo
Slava UkraineMara ya mwisho nakumbuka ulisema wanaingia katikati ya mji. Nikakuuliza wanatokea wapi hujajinijibu.
Bakhmut kuna mapambano Makali kama ilivyo sehemu nyingune Ukriane. Tungezidiwa tungeretreat. Bado Frontline ya ukraine ipo vizuri kuanzia logistics
Unajua wewe mwamba waga sikuelewi chalii angu aseeeWarusi wamekomaa kwelikweli na wanasogea mdogomdogo
Musk subiri NASAMS zingine 6 zifikè Ukraine ndo upeleke ushauri wako kwa Putin. Kwamba, you negotiate with the invader !!!Zelensky invites Musk to visit Ukraine before offering 'peace formula'
"If you want to understand what Russia has done here, come to Ukraine and you will see it with your own eyes.
After that, you will tell us how to end this war, who started it and when we can end it,"
View attachment 2432274
Slava UkraineAngalia Urusi wanavyo pelekewa Moto Bakhumut
View attachment 2432954