Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Frontline
20231026_053823.jpg
20231026_053916.jpg
20231026_053942.jpg
20231026_054019.jpg
20231026_054054.jpg
 
Vijana wa Moscow hawaamini wanachokiona Frontline. Hadi wanatembelea. Hapo walizidiwa wakataka kukimbia.. Wakapelekewa moto
 
Baada ya daraja la Crimea kulipuliwa, sasa Urusi wanaomba msaada wa China kulijenga upya. Angalia kazi nzuri ya Ukraine walivyo lipua daraja
 
Mwanajeshi wa Kujitolea kutoka Brazil akielekezwa jinsi ya kutumia Kifaru aina ya BTR-4 "Bucephal
 
Back
Top Bottom