yes niliyekampenda maana dunia imezungukia had upande wangu ila mcnicheke 2 waungwana
Bila miamala mambo hayaendi eeeh?
We acha uchonganishi,Nimefungua massage clinic ndio nimekukaribisha hapo uje ukandwe na kijana wa kazi
Nitakuchama taariiitiiibuuuu hosikia uchungu!
Basi mie naogopa mwaya, tena sanaaaaaa!
Mtu mzima haogopi sindano atoto
mi nahisi ungeipeleka jukwaa la wakubwa ungepata mashabiki zaid hapa tupo tusiojua kama mimi ndo mgeni kabisaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!