DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 32,312 Reaction score 83,178 May 24, 2025 #781 "Wakati sio milele by mshana Jr "
Alloyce PR JF-Expert Member Joined Nov 15, 2020 Posts 798 Reaction score 865 Jun 9, 2025 #782 "Kukiri kushindwa ni hekima ya kweli katika uongozi; lakini kusisitiza kuwa hujashindwa ilhali hujashinda ni dalili ya upungufu wa kinga ya kiakili." — Alloyce, P.R.
"Kukiri kushindwa ni hekima ya kweli katika uongozi; lakini kusisitiza kuwa hujashindwa ilhali hujashinda ni dalili ya upungufu wa kinga ya kiakili." — Alloyce, P.R.