Special thread: Kwa wote ambao tumeshagongewa wake zetu

Special thread: Kwa wote ambao tumeshagongewa wake zetu

Mkuu hujaona hapo nimesema naplan solid defence strategies kuzuia hilo?? Nataka jamaa ajue kabisa, na ofcoz nishamjua kiundani. Nataka anikute kitandani na mke wake.
Hyo unayo plan ni poor strategy eti akukute kitandani kabisa unahatarisha uhai wako hafu ukifumaniwa nguvu huwaishia watu. Sioni haja ya kuumia ka wewe mwenyewe ni mwingi eeeh hyo inaitwa usichopenda kutendewa usimtendee mwenzako naona umeshajifunza sasa nakwambia usijaribu, kuna mwanaume juzi kageuzwa hivo hivo kisa mke wa mtu , be careful acha hasira na mihemko
 
Kuna dada mmoja tuliishi nae mtaani mume wake alikuwa anazo alafu na alikuwa mtu wa totoz. Vijana wengi walitaka kulipiza machungu ya kugongewa wake zao kwa huyu dada lakini alikuwa so decent hata akiambiwa uchafu wa mume wake anakaa kimya tu
 
Wanabodi, Mke anauma jamani.

Mwaka jana mwishoni pasipo na shaka yeyote nilijua Mke wangu anagongwa na fala flani hivi (Hapa sina hakika kama fala ni jamaa au Mimi niliyegongewa)
Nilimmind sana wife na kipigo juu, ila mwisho wa siku nilisamehe (Kwa kuwa mi mwenyewe ni mfuasi wa K za nje)
Nishamcheat Mke wangu zaidi ya Mara idadi kamili.
Tatizo ni kuwa nimeshindwa kabisa kusahau, nilijaribu kula mizigo ya nje ili tu nibalance lakini bado.

Jamani huwa mnafanyaje kusahau??

Hapa nimeshaanza preliminaries za maandalizi ya missions za kumla Mke wa jamaa aliyemla Mke wangu, tatizo jamaa yupo mkoa na nimeshachukua leave ya mwezi kazini. Nataka nilipe kisasi, kama hii haitasaidia itabidi nicheze mchezo nimle jamaa mwenyewe.

Au mnaonaje wadau???

Mke anauma jamani, anauma sio kitoto mjue.
Pole mkuu. Kaa haikukuuma kuoa mwanamke ambaye sio bikra, yani unajua kabisa huyu mwanamke namuoa lakini atakuwa ameshaliwa na washkaji sio chini ya watano, kwa nini usikitike kuliwa na mwanaume mwingine mmoja to make a number alot bigger?
Samehe na sahau. It will help you more than that guy or your wife. Pia na wewe ubadilike. Huenda mkeo aliamua kugawa mzigo nje ili 'kubalance story' baada ya kujua nyendo zako hatarishi!
 
Wanabodi, Mke anauma jamani.

Mwaka jana mwishoni pasipo na shaka yeyote nilijua Mke wangu anagongwa na fala flani hivi (Hapa sina hakika kama fala ni jamaa au Mimi niliyegongewa)
Nilimmind sana wife na kipigo juu, ila mwisho wa siku nilisamehe (Kwa kuwa mi mwenyewe ni mfuasi wa K za nje)
Nishamcheat Mke wangu zaidi ya Mara idadi kamili.
Tatizo ni kuwa nimeshindwa kabisa kusahau, nilijaribu kula mizigo ya nje ili tu nibalance lakini bado.

Jamani huwa mnafanyaje kusahau??

Hapa nimeshaanza preliminaries za maandalizi ya missions za kumla Mke wa jamaa aliyemla Mke wangu, tatizo jamaa yupo mkoa na nimeshachukua leave ya mwezi kazini. Nataka nilipe kisasi, kama hii haitasaidia itabidi nicheze mchezo nimle jamaa mwenyewe.

Au mnaonaje wadau???

Mke anauma jamani, anauma sio kitoto mjue.
Sababu ya mkeo kuliwa ni ipi? Ukiijua inaweza kusaidia ufanye nini.
Angalizo: Sababu isiwe eti "nilipitiwa na shetani"
 
Hahaaaaaa mechi ya nyumbani daily eti huchosha sana mi nisivoamini mtu yoyote kwa mapenzi sasa hivi siwezi kujifanya na stick na mmoja huku yeye akifaidi akirudi kwangu ananichafua tu.
Haaaa ndo kusema mara mojamoja unachezaga game za ugenini. Ntakutafuta unipe mbinu na experience
 
Ndicho nachofikiria hapa, yaani nitamrengesha anifume kabisa namkaza mke wake. Now napanga strategies za usalama wangu kwanza, maana sitaki ajue tu, nataka atukute kitandani kabisa. I want it to be a suicide mission.
Haita saidia ukweli nakuapia,kwanza mkewe sio mzuri pengine kushinda mkeo halafu utakuwa unajilazimisha mapenzi hutaenjoy!!kingine jiulize au rudisha kumbukumbu kwanini mkeo alicheat 90percent huwa sisi wanaume ndio sababu na mkeo hadi kucheat alimpenda huyo jamaa angalia usije ukumpa chance jamaa akmchukua mkeo moja kwa moja then ukawaumeharibu maisha yako jumla!!nataka nikuaminishe kuwa haya mambo yalikuepo toka enzi za mababu,sema dunia inabadirika na tamaduni zinachange pia kila zama zilijua namna gani ya kuhandle haya mambo sema hiki kizazi chetu social integration nikubwa ndomana kusikia story hizi au kupata taarifa mkeo kafanyaje inakuwa rahisi!!nakushauri we nikidume haswa jikaze vumilia yatapita mkeo verysoon atakuheshimu sana kwa uamuzi wako nahata sita kujigamba ana mwanaume hodari na mjasiri
 
Back
Top Bottom