Special thread: Kwa wote ambao tumeshagongewa wake zetu

Special thread: Kwa wote ambao tumeshagongewa wake zetu

Wanabodi, Mke anauma jamani.

Mwaka jana mwishoni pasipo na shaka yeyote nilijua Mke wangu anagongwa na fala flani hivi (Hapa sina hakika kama fala ni jamaa au Mimi niliyegongewa)
Nilimmind sana wife na kipigo juu, ila mwisho wa siku nilisamehe (Kwa kuwa mi mwenyewe ni mfuasi wa K za nje)
Nishamcheat Mke wangu zaidi ya Mara idadi kamili.
Tatizo ni kuwa nimeshindwa kabisa kusahau, nilijaribu kula mizigo ya nje ili tu nibalance lakini bado.

Jamani huwa mnafanyaje kusahau??

Hapa nimeshaanza preliminaries za maandalizi ya missions za kumla Mke wa jamaa aliyemla Mke wangu, tatizo jamaa yupo mkoa na nimeshachukua leave ya mwezi kazini. Nataka nilipe kisasi, kama hii haitasaidia itabidi nicheze mchezo nimle jamaa mwenyewe.

Au mnaonaje wadau???

Mke anauma jamani, anauma sio kitoto mjue.
Kuna mmoja nataka nifanye revenge either hii itakua kwa mke wake or mtoto wake wa kike au wote kwa pamoja....

Huwa inauma sana hasa kama unamjua mshikaji ...
 
Pole sana mkuu mpaka sasa sina uhakika kama nachapiwa au lah na pia natambua uchungu wa mke duh!.
Mtafute mke wa huyo jamaa umle tena mpaka tigo alafu hakikisha hilo jamaa linajua.
Namuomba Allah yapitie mbali mana nahofia hawa watoto watakosa mama na mama wa kufikia duh.
Unataka wenzako wauane in short acheni kushindana na sehemu palipowaleta duniani mtakuwa na Amani.
 
Kulipa kisasi hakukupa nafuu zaidi unajiumiza, hafu ukichepuka jua na wako analiwa na wanjanja hyo ndo karma mkuu, ningekuwa mkeo ningekuuliza kama hujachepuka kamwe niguse, kuchepuka huwa nikubadilisha kiwanja, hilo kovu lakuchepukiwa maumivu yake utakufa nayo
Nimependa hapo kwenye kubadilisha kiwanja [emoji4] [emoji4]. Siku nikioa ntafanya kama ulivyosema
 
Pole sana mkuu mpaka sasa sina uhakika kama nachapiwa au lah na pia natambua uchungu wa mke duh!.
Mtafute mke wa huyo jamaa umle tena mpaka tigo alafu hakikisha hilo jamaa linajua.
Namuomba Allah yapitie mbali mana nahofia hawa watoto watakosa mama na mama wa kufikia duh.
Ndicho nachofikiria hapa, yaani nitamrengesha anifume kabisa namkaza mke wake. Now napanga strategies za usalama wangu kwanza, maana sitaki ajue tu, nataka atukute kitandani kabisa. I want it to be a suicide mission.
 
mkuu muosha huoshwa pia kumbuka, umeshakula wake za wenzako wengi tu vip na wao wakipanga njama za kukuosha na wewe kama unavyotaka kumuosha jamaa aliyekuoshea mkeo?? jitahidi kusamehe na kupotezea tu
 
Ndicho nachofikiria hapa, yaani nitamrengesha anifume kabisa namkaza mke wake. Now napanga strategies za usalama wangu kwanza, maana sitaki ajue tu, nataka atukute kitandani kabisa. I want it to be a suicide mission.
Utabakwa bure ujinyonge had kakugongea mkeo huo ni udhaifu mkubwa acha huo ujinga humjui vzuri eeeeh. Gonja akukodie mijemba wenzako wakugeuza hapo utajiua kabisa
 
Pole sana mkuu mpaka sasa sina uhakika kama nachapiwa au lah na pia natambua uchungu wa mke duh!.
Mtafute mke wa huyo jamaa umle tena mpaka tigo alafu hakikisha hilo jamaa linajua.
Namuomba Allah yapitie mbali mana nahofia hawa watoto watakosa mama na mama wa kufikia duh.
Shana, Na kwa ushauri wako huu wa kifedhuli unamtaja na Allah ?, be serious bhana.
 
Utabakwa bure ujinyonge had kakugongea mkeo huo ni udhaifu mkubwa acha huo ujinga humjui vzuri eeeeh. Gonja akukodie mijemba wenzako wakugeuza hapo utajiua kabisa
Mkuu hujaona hapo nimesema naplan solid defence strategies kuzuia hilo?? Nataka jamaa ajue kabisa, na ofcoz nishamjua kiundani. Nataka anikute kitandani na mke wake.
 
Back
Top Bottom