Dah,fursa hii ngoja niiwahiHahaaaaaa mechi ya nyumbani daily eti huchosha sana mi nisivoamini mtu yoyote kwa mapenzi sasa hivi siwezi kujifanya na stick na mmoja huku yeye akifaidi akirudi kwangu ananichafua tu.
Dawa ya deni ni kulipa bro. Usipokuwa makini utaendelea kulipa deni mpaka unaingia kaburini.Wanabodi, Mke anauma jamani.
Mwaka jana mwishoni pasipo na shaka yeyote nilijua Mke wangu anagongwa na fala flani hivi (Hapa sina hakika kama fala ni jamaa au Mimi niliyegongewa)
Nilimmind sana wife na kipigo juu, ila mwisho wa siku nilisamehe (Kwa kuwa mi mwenyewe ni mfuasi wa K za nje)
Nishamcheat Mke wangu zaidi ya Mara idadi kamili.
Tatizo ni kuwa nimeshindwa kabisa kusahau, nilijaribu kula mizigo ya nje ili tu nibalance lakini bado.
Jamani huwa mnafanyaje kusahau??
Hapa nimeshaanza preliminaries za maandalizi ya missions za kumla Mke wa jamaa aliyemla Mke wangu, tatizo jamaa yupo mkoa na nimeshachukua leave ya mwezi kazini. Nataka nilipe kisasi, kama hii haitasaidia itabidi nicheze mchezo nimle jamaa mwenyewe.
Au mnaonaje wadau???
Mke anauma jamani, anauma sio kitoto mjue.
Hyo ndo solution hapo sasa ukute ulishawekewa mitegoBora kutoka nduki.
Yaonekana una mengi uliyopitia mpaka imekupelekea kuwa na hali iyoHata sio jasiri ukiwa Mwema kwenye mahusiano lazima uumie tu, so tangu nijifunze staki hupenda wala kufikiria MTU, naamgalia kinachonipa Amani na furaha
Unamshauriji sasa maana nimepitia coments zako zote kuna kitu naki zoom labda nitakionaKulipa kisasi hakukupa nafuu zaidi unajiumiza, hafu ukichepuka jua na wako analiwa na wanjanja hyo ndo karma mkuu, ningekuwa mkeo ningekuuliza kama hujachepuka kamwe niguse, kuchepuka huwa nikubadilisha kiwanja, hilo kovu lakuchepukiwa maumivu yake utakufa nayo
Fursa nyingine ngumu ka jiwe la bahariniDah,fursa hii ngoja niiwahi
Unahalalisha kuchepuka mbona bado sikupati naona kama dish limeyumbaKuacha sio solution sikuhizi mahusiano mengi kuchepuka ni kawaida, sioni haja ya kumwacha maana wewe mwenyewe mchepukaji na ulimfumdisha hyo tabia mwenyewe.
Hivo hivo napambana nayo...nakujaFursa nyingine ngumu ka jiwe la baharini
Kuchapiwa sio tatizo, bali kujua kuwa unachapiwa ndili tatizo. Jitahidi usifahamu kuwa unachapiwa, watu wengi sana wanachapiwa ila hawajui; na hata wanaume wengi wanachapa nje ila wake zao hawajui.Wanabodi, Mke anauma jamani.
Mwaka jana mwishoni pasipo na shaka yeyote nilijua Mke wangu anagongwa na fala flani hivi (Hapa sina hakika kama fala ni jamaa au Mimi niliyegongewa)
Nilimmind sana wife na kipigo juu, ila mwisho wa siku nilisamehe (Kwa kuwa mi mwenyewe ni mfuasi wa K za nje)
Nishamcheat Mke wangu zaidi ya Mara idadi kamili.
Tatizo ni kuwa nimeshindwa kabisa kusahau, nilijaribu kula mizigo ya nje ili tu nibalance lakini bado.
Jamani huwa mnafanyaje kusahau??
Hapa nimeshaanza preliminaries za maandalizi ya missions za kumla Mke wa jamaa aliyemla Mke wangu, tatizo jamaa yupo mkoa na nimeshachukua leave ya mwezi kazini. Nataka nilipe kisasi, kama hii haitasaidia itabidi nicheze mchezo nimle jamaa mwenyewe.
Au mnaonaje wadau???
Mke anauma jamani, anauma sio kitoto mjue.
Life is a learning experience aisee even before ya kukutana na hayo huwa sipendi amini mtu, sasa wenye ndoa ndo vinara kabisaYaonekana una mengi uliyopitia mpaka imekupelekea kuwa na hali iyo
Namshauri ajitulize tu duniani hamna jipya na yeye mwenyewe hula vya wenziwe avumilie yeye kajifunza kwa njia ngumu that's life loh, hata akiacha si solution atakayempa naye mchezo huo huo.Unamshauriji sasa maana nimepitia coments zako zote kuna kitu naki zoom labda nitakiona
Sometimes revenge restore peace and happinessWeak people revenge, strong people forgive and forget