Special thread: Kwa wote ambao tumeshagongewa wake zetu

Mkuu hujaona hapo nimesema naplan solid defence strategies kuzuia hilo?? Nataka jamaa ajue kabisa, na ofcoz nishamjua kiundani. Nataka anikute kitandani na mke wake.
Utapata majuto tu.
 
Sawa mkuu. Lakini kwangu hiyo kauli haikubaliki kamwe, huwa inaficha mengi.
Nikweli ila ndio katika baadhi ya mapungufu yako means alishindwa kuhandle hisia shetania akamshawishi means labda baada yakukuona unamfanyia visa fulani akashindwa kuwa mvumilivu akatafuta faraja jambo ambalosio sahihi
 
Pole mkuu. Kaa haikukuuma kuoa mwanamke ambaye sio bikra, yani unajua kabisa huyu mwanamke namuoa lakini atakuwa ameshaliwa na washkaji sio chini ya watano, kwa nini usikitike kuliwa na mwanaume mwingine mmoja to make a number alot bigger?
Samehe na sahau. It will help you more than that guy or your wife. Pia na wewe ubadilike. Huenda mkeo aliamua kugawa mzigo nje ili 'kubalance story' baada ya kujua nyendo zako hatarishi!
Mkuu mke wangu hajawahi hata kuona ushahidi wa Mimi kuwa na mwanamke, zaidi ya zile general guess kuwa mwanamlume lazima awe na mchepuko.

Nampenda na kumheahimu sana kiasi kwamba hata huu upuuzi huwa nafanyia mbali humo mikoani, sio hapa Dar.
Sababu kamili hata sijui ni nini na hicho ndicho kinachoniuma.
 
Unataka wenzako wauane in short acheni kushindana na sehemu palipowaleta duniani mtakuwa na Amani.
Ile kitu isingekuwa tamu mbona tungewaachia nyenyere tu wale but ndio hivyo wengine bila hiyo kitu inameza mwenzie hatulali
 
Nikweli ila ndio katika baadhi ya mapungufu yako means alishindwa kuhandle hisia shetania akamshawishi means labda baada yakukuona unamfanyia visa fulani akashindwa kuwa mvumilivu akatafuta faraja jambo ambalosio sahihi
Mkuu mwanamke akishatekwa kihisia ni kumuacha tu. Bila hivyo utapata tabu sana, bora acheat sababu ya shida zingine tu angalau naweza kufikiria kidogo msamaha.
 
Sababu ya mkeo kuliwa ni ipi? Ukiijua inaweza kusaidia ufanye nini.
Angalizo: Sababu isiwe eti "nilipitiwa na shetani"
Mkuu nimejaribu kumuuliza kibabe na kistaarabu, lakini visababu anavyotoa hata haviniingii akilini.
 
Haita saidia ukweli nakuapia,kwanza mkewe sio mzuri pengine kushinda mkeo halafu utakuwa unajilazimisha mapenzi hutaenjoy!!kingine jiulize au rudisha kumbukumbu kwanini mkeo alicheat 90percent huwa sisi wanaume ndio sababu na mkeo hadi kucheat alimpenda huyo jamaa angalia usije ukumpa chance jamaa akmchukua mkeo moja kwa moja then ukawaumeharibu maisha yako jumla!!nataka nikuaminishe kuwa haya mambo yalikuepo toka enzi za mababu,sema dunia inabadirika na tamaduni zinachange pia kila zama zilijua namna gani ya kuhandle haya mambo sema hiki kizazi chetu social integration nikubwa ndomana kusikia story hizi au kupata taarifa mkeo kafanyaje inakuwa rahisi!!nakushauri we nikidume haswa jikaze vumilia yatapita mkeo verysoon atakuheshimu sana kwa uamuzi wako nahata sita kujigamba ana mwanaume hodari na mjasiri
Asante mkuu, ushauri wako mzuri. Sasa nafanyaje kusahau kabisa hili??
 
Mkuu mke wangu hajawahi hata kuona ushahidi wa Mimi kuwa na mwanamke, zaidi ya zile general guess kuwa mwanamlume lazima awe na mchepuko.

Nampenda na kumheahimu sana kiasi kwamba hata huu upuuzi huwa nafanyia mbali humo mikoani, sio hapa Dar.
Sababu kamili hata sijui ni nini na hicho ndicho kinachoniuma.
Hata ukifanyia wapi sisi huwa tunajua tu pole karma is a bitch yeye hapo kashafurahi amefanikiwa kukulipiza loh
 
Haita saidia ukweli nakuapia,kwanza mkewe sio mzuri pengine kushinda mkeo halafu utakuwa unajilazimisha mapenzi hutaenjoy!!kingine jiulize au rudisha kumbukumbu kwanini mkeo alicheat 90percent huwa sisi wanaume ndio sababu na mkeo hadi kucheat alimpenda huyo jamaa angalia usije ukumpa chance jamaa akmchukua mkeo moja kwa moja then ukawaumeharibu maisha yako jumla!!nataka nikuaminishe kuwa haya mambo yalikuepo toka enzi za mababu,sema dunia inabadirika na tamaduni zinachange pia kila zama zilijua namna gani ya kuhandle haya mambo sema hiki kizazi chetu social integration nikubwa ndomana kusikia story hizi au kupata taarifa mkeo kafanyaje inakuwa rahisi!!nakushauri we nikidume haswa jikaze vumilia yatapita mkeo verysoon atakuheshimu sana kwa uamuzi wako nahata sita kujigamba ana mwanaume hodari na mjasiri
Mbona umetetea sana au ni wewe ulivyosikia ana revenge umeumia mkuu
 
Back
Top Bottom