Special Thread: Korosho msimu 2017/2018

Special Thread: Korosho msimu 2017/2018

Habari wadau,

Nimepata interest ya kulima korosho na nina ardhi Tanga takribani hekari 100 ambapo nataka nijaribu kulima mbegu mpya za mikorosho. Je kuna mdau yoyote ambaye ana business case ya kulima korosho kwa hekari/hekta moja ili niweze kutumia kama benchmark ya kujipanga kifedha?

Nimejaribu kuangalia mitandaoni na nimepata business case za model farms kwa nchi za India na Australia. Gharama hizi ni tofauti sana na nchi zetu, kama kuna mdau ambaye tayari alishaandaa kwa mkoa wowote Tanzania itakua vyema akishare ili niweze kutumia kama benchmark.

Asante
 
Back
Top Bottom