Special Thread: Korosho msimu 2017/2018

Special Thread: Korosho msimu 2017/2018

Iyo ni bei elekezi,si mbaya mnada utaamua being ya ushindani.Mwaka Jana being elekezi ilikuwa 1300
 
Bei elekezi 1450 ni bei mzuri mwaka Jana ilikua 1300
 
Zishaanza kupatikana katikat ya masasi na newala, bei 2000
 
Mkuu naomba unijuze vyema, nahitaji kuja mtwara kuangalia hiyo fursa ila ni mgeni kwenye hili swala. Kilo ni sh 2000 ambayo haijabanguliwa mimi nataka iliyobanguliwa kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu korosho iliyobanguliwa inapatikana kwa shida inatafutwa Kama dhahabu, kwa sababu korosho Bado haijachanganya ni bahadhi tu ya maeneo machache ndo inapatikana, inapatikana kwa kg 20,000 , serikali ipo macho saana Kuhusu korosho, ina mana Kama sahiv mashambani vijijin sehemu ambazo korosho teyari wanauza yenye maganda kg 2000, ukifanikisha kupita vizuizi na kuleta mjin newala unauza kwa elf 3000 kwa mabosi ambao wanataka kuzibangua,, shida ipo kuzitoa vijijin mashambani na kuileta mjini,, upatikanaji wa urahis labda uvute Subira Kama wik mbili Hivi, sehem nying itakua teyari
 
Mkuu naomba unijuze vyema, nahitaji kuja mtwara kuangalia hiyo fursa ila ni mgeni kwenye hili swala. Kilo ni sh 2000 ambayo haijabanguliwa mimi nataka iliyobanguliwa kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
MKUU ambayo imebanguliwa kwa sasa Yah 25000 kwa kilo moja kuna wakenya na wachina wameingillia kati wanatafuta mzigo mkubwa
 
Kama kuna mdau anahitaji kufanya biashara hii ya korosho na anao mtaji wa kutosha, aje in box ili tuanze kazi, binafsi sina mtaji wa pesa nitakuwa kama kiungo.
 
Ambazo hazijabanguliwa wiki hii kwenye blackmarket zinauzwa elfu 2 na mia tano kwa kilo moja


Nimetoka Jana newala, aisee hadi 2700 kilo zinauzwa,, sasahiv ni dil Sana korosho, zikichanganya bei itashuka
 
Mi Nina mikorosho km Ishirini IPO Dar anaetaka anitafute..
 
Ninauza kiwanja mtwara mjini bara bara ya zambia load kipo barabarani kabisa kwa wenyeji wa mtwara kimepimwa na kina docoment zote kwa muhitaji anicheki 0712 622028
 
Mkuu naomba unijuze vyema, nahitaji kuja mtwara kuangalia hiyo fursa ila ni mgeni kwenye hili swala. Kilo ni sh 2000 ambayo haijabanguliwa mimi nataka iliyobanguliwa kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Inabidi uende masasi au newala au Tandahimba kuna wabuanguaji wadogo kwenye vyama vyavushirika utapata.
 
Hizi hapa super kabisa

tmp-cam-569451574.jpg
 
Back
Top Bottom