Multpurpose
Senior Member
- Mar 23, 2018
- 123
- 78
Nimeanzisha thread hii kwania njema tu ya kupeana maarifa, kubadlishana mawazo lakini kupata majibu ya maswali yetu pia.. ambayo huenda wakati mwingine unakosa wa kumuuliza.
Tuulizane maswali kuhusu
*mahusiano
*familia.
I start, swali kwa upande wa ME. hivi ni kwanini ni ngumu sana kwa mwanaume kuanzisha mahusiano na mwanamke ambaye ana mtoto tayari(single mother)?
Tuulizane maswali kuhusu
*mahusiano
*familia.
I start, swali kwa upande wa ME. hivi ni kwanini ni ngumu sana kwa mwanaume kuanzisha mahusiano na mwanamke ambaye ana mtoto tayari(single mother)?