Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
Man!!! Right back atchu babes
I am not worried by my lack of goals, says Argentina captain Lionel Messi http://m.sportskeeda.com/football/not-worried-lack-goals-argentina-captain-lionel-messi.
Cc: Paulo Sergio De Souz , Papupi & #AntiMess 😀😀
Hahh.. ana jitetea tu, mbona hayo maneno hasemagi akiwa barcelona?
Hahh.. ana jitetea tu, mbona hayo maneno hasemagi akiwa barcelona?
Si ndio hapo.
Mtu kwao.....anaongea ukweli, hii ndo roho ya Argentina na akipata uchezaji bora ni sawa kabisa kwi kwi kwi kwi!!!!!
Ndo hapo nini?
Roho ya argentina ni angie di assist maria, we hukumbuki hata kwenye ile fainal ya kombe la dunia di maria alipokua majeruhi.. messi was nuffin but kirikuu..
haha ndio hapo anajifariji. Btw, game tunaangalia leo ama ugenini hakuna access?
Mimi tena teja wa futboll ntamtoroka hata bro Wako.....kama kawaida saa 5 tutakuwa pamoja.
hahaha unatisha. Uje bana tufunge hili pazia, baada ya hapa ni mapumziko mpaka panapo majaaliwa.
Mhh!!! Ntakumiss bana usifanye hivyo. ........au ndo na Mimi umeshanipa ile kitu kila siku niwe after you? Nikumiss nikutafute kila wakati.....no mtongozo at all....Rofl
Si naona mnavojaribu kunitenga kwa nguvu zote😕
Hahahaha!!! Am I dancing to the tunes??..... Papupi umelike hapo ili Iweje? Ili uje unifunge eeeeh???....😀😛
Si naona mnavojaribu kunitenga kwa nguvu zote
Hahaha!!! Tatizo na wewe umezubaa sana yaani kusoma hujui hata picha? Kila nikikubwipu hubwipiki .....utapishana na mambo mazuri shaur yuko!!!......LOL
Hahah.. kuna kipind wakat mou anafundisha inter milan waliwah kufungwa sasa muandish akamuuliza, kwanini mmefungwa? Yeye alijibu nadhani mwezi umekuja wakati mbaya coz wachezaji wangu wamefunga.. so its same to me here, TATIZO MWEZI.. lol