everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Too bad game haina hata cha ku-update, Uruguay so mediocre.
Umeona eeeh?? Game limepoa kishenzi labda tusubiri baadaye tumcheki Messi hahahaha usivyompenda sasa..... Lol
Too bad game haina hata cha ku-update, Uruguay so mediocre.
Umeona eeeh?? Game limepoa kishenzi labda tusubiri baadaye tumcheki Messi hahahaha usivyompenda sasa..... Lol
Asante sana, tupo pamoja mwaga updates .... BAK ukuje huku basi Uzi upendeze... Watu8 sikuoni leo? chebi wapi hiyo? Ziroseventytwo leo ni mapema njoo tucheki game au mambo ya weekend?
Haha na kweli simkubali kivile, last World Cup aliwafunga Bosnia, Nigeria na Iran tu, ila kelele kila sehemu kwamba ni mchezaji bora kuwahi kutokea.
Cavani anatia kichefu chefu
Nitapita huku nafasi ikiruhusu si unajua tena mambo ya weekend, kuna mechi ya Brazil na Spain na Warembo wa kwa mama na Mexico kombe la dunia kwa Warembo. Ila kesho kwenye Copa America timu yetu Brazil wanakipiga na Peru usikose.
Asante sana, tupo pamoja mwaga updates .... BAK ukuje huku basi Uzi upendeze... Watu8 sikuoni leo? chebi wapi hiyo? Ziroseventytwo leo ni mapema njoo tucheki game au mambo ya weekend?
Hahahaha lakini huwa sometime anafanya vitu flani adimu....wacha wamsifu tu!!
Umeona ee !! Ila na huyu refa naye siyo kaminya faulo nyingi.....
mkuu nipo ila leo nilikua katika part hii furaha ya ile final ya jumamosi iliyopita leo ndio ilikua tunasherehekea a.k.a Team BarcaAsante sana, tupo pamoja mwaga updates .... BAK ukuje huku basi Uzi upendeze... Watu8 sikuoni leo? chebi wapi hiyo? Ziroseventytwo leo ni mapema njoo tucheki game au mambo ya weekend?
Yes yes, kako vyema sana. Kama tungepewa option ya kubadilishana na yule wetu, ningekubali bila kufikiria mara mbili. Ila sio bora kuwahi kutokea.
Nilichoona kachemka so far ni alipoteleza Muslera, Ye akasema foul. Ile Cavani aliyoililia haikuwa penalty.
mkuu nipo ila leo nilikua katika part hii furaha ya ile final ya jumamosi iliyopita leo ndio ilikua tunasherehekea a.k.a Team Barca
65' Uruguay 1- 0 Jamaica
Mkuu hivi umewahi kumuona dinho akicheza kwa miaka kama miwili iliyopita au ulikuwa unataka kumtaja neymar isije kuwa unamzungumzia dinho wa kwenye game za PS 2006-2008