Special Thread, COPA America 2015

Special Thread, COPA America 2015

Ombi moja tu niandalie tu picha za kutosha kesho nikawaoshe kule home...... Jana Rojo alikuwa anahojiwa akasema ADM is the best among all players in MUFC utafikir leo alijua itakuwa ni siku ya kismati chao......

Hahaha utazipata Mama, shaka ondoa kabisa.
 
Messi kampiga mtu tobo hahahaaaa.

Huku Argentina inawazika Paraguay halafu huko Canada Marekani inaikung'uta Ujerumani kwenye kombe la dunia la wachuchu.

Aiseeee!!!! Natumai wanakulipia kisasi kwa mbali.......hongera zao ......matokeo ni ngapi ngapi?
 
Ila kwa mpira wa jana aliocheza peru ingawa alikua pungufu, nadhan wangekua wametimia chile tulikua tunamwambia asante kwa kushiriki

Ni kweli, ila performance yao overall si ya kubeza. Game moja mbaya haifuti uwezo wao, + ni wenyeji. Na finals huwa hazina mwenyewe, especially South America's.
 
Mbeleko litachanika wanapigwa kwanza tatu za chap chap kuwaweka sawa,kwanza mpaka hapo ni mafaniko kwao hawajawahi fika hiyo stage ....

Aiseeeh.. ndo maana nikaingia kitandan baada ya goli la nne, sikutaka mtt wa sheikh yahaya aje kunitabiria kitakachotokea
 
Back
Top Bottom