Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
If i didn't know better, i'd say it's ridiculous how he's not MOTM, if i didn't know better.
![]()
Shemeji umemsaliti mtakatifu wa soka... ona sasa umeshapigwa chini.
Rudi nyumbani...
The best i could get atm. Hongera everlenk na Albiceleste fans wote, nendeni mkabebe kombe mbuzi lenu.
If i didn't know better, i'd say it's ridiculous how he's not MOTM, if i didn't know better.
![]()
Mkuu tukisema tunaonekana anti kirikuu, ngoja tunyamaze tu.. na jiweke vizur kisaikolojia maana naona kabisa kirikuu atakua mchezaj bora wa mashindano hata kama hastaili kama alipewa wa kombe la dunia hawawez shindwa kumzawadia na hapa
Siyo mahaba Bali ni ukweli mtupu kwa jana alistahili Messi ile last match alipata ADM na alistahili kabisaaaa kuipata alicheza vizuri,ile ya robo final somehow walakini alistahili Ospina na si Yeye......... Nipigeni mawe tu wapenzi wangu ila ya leo Yes to Messi!!!!!!!!!!!
Aiseeeeeh.. haya umeshinda mama na hongera kwa ushindi😩
Asante mpz,ila umenipa hongera huku umenuna smile basi kidogo tujiselfie....
Hahahhahahhaa!!!!! Mwaaaaaaaa!!! Thank you baby, nimefurahi kwamba umekubaliana na ukweli, wahenga wanasema muungwana akivuliwa nguo huchutama........ Asante sana mpz...... Hivi..... Copa America nayo ni kombe la mbuzi eeeh? Come on baby!!!.....anyway I understand it, you tried to encourage yourself...... Worry not honey next season might be your time.....
Mkuu tukisema tunaonekana anti kirikuu, ngoja tunyamaze tu.. na jiweke vizur kisaikolojia maana naona kabisa kirikuu atakua mchezaj bora wa mashindano hata kama hastaili kama alipewa wa kombe la dunia hawawez shindwa kumzawadia na hapa
Hapa sikumsaliti wangu ila ilikuwa wishes nilitamani Brazil na Argentina wakutane final, Shem nimekumiss mpaka natetemeka.