Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
Hapa sijakuelewa ,naomba kueleweshwa......
Yaani atakayepata kadi ya njano kati ya hao wawili, atakosa fainali.
Hapa sijakuelewa ,naomba kueleweshwa......
Hii mechi tamu mno...
Ni kama itakavyokuwa fainali...
Hii mechi tamu mno...
Ni kama itakavyokuwa fainali...
Ah wapi! Mi niko na wewe tu
Leo ni Man united day.......
Paulo Sergio De Souz piga makofi kwa garasa lenu....lol
Hivi kirikuu ana matatizo gan mbona hafungi??
Nadhani fainali itakuwa habari nyingine kabisa, haijalishi nani atapita hapa.
Hehe, GGMU au sio? United bana.