Apitakujilamba
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 205
- 83
Nipo mkuu nashuhudia hapa Rojo akiwaua Paraguay
Welldone
Nipo mkuu nashuhudia hapa Rojo akiwaua Paraguay
Msuli/Upaja mmoja wa Kun, unatoa minne ya Di Maria.
Ila leo sijamuona macherano kwenye hilo list ya argentina
Di Maria kwa wembamba wake huko kwao huitwa 'noodle'
Mascherano yupo ndani tazama uzuri...
Paraguay wana team, Argentina wana game deciders.
Sioni hapa Paraguay wakirudi.
Niambie nini kinaendelea ee bana Argentina wanatolewa nini huku kwangu kila kitu ni hovyo hovyo,umeme umerudi now,Dstv inaniambia sijui ujinga gani,najaribu online connection
inazingua.......mhh!!!
Usiwe na hofu mkuu, zinarudi hizo kama siku ile tu
Wanaweza kupata goli 2, ila hawawezi kuzuia kuongezwa pia.