Fungua moja ya mitandao hii...
www.lshunter.com au www.goatd.net
Halafu tazama huko utaona mechi hii katika list...
Asante, nimeicheki
Naomba aRGENTINA aingie final aje kunipigia hawa chile
Naomba aRGENTINA aingie final aje kunipigia hawa chile
Muwe na wakati mwema wapendwa wote.
![]()
REF: "VIDAL GO SCREW YOURSELF"
![]()
Huyu Vidal mechi ya leo kaniboa sana.....
Ibra: 'Kausha Abbiati, huyu dogo namjua, hana noma.'
![]()
Ngoja tuone Kirikuu kama atacheka leo. Cc Somebody
Hahahaha!! Si useme tu cc everlenk.......the Alien ni noma anaweza kushangaza malimwengu kwa header goal.....halafu mpe heshima yake basi sema King Messi........halafu ufupi thiyo hoja hata huko kwenu kuna wafupi, thithi thithiii ndo baba dhao na thithi thithiii ndo mama dhao.....
Hahahaha kumbe upo? Tutakuwa wote badae kushuhudia soka 'from another galaxy' hehe.
Hehehe uniamshe sawa?
Hilo tu? Shaka ondoa mama, tena nakuja kuangalizia kwako.