Jamani naomba link ya kuangalia hiyo match online
Tuache masihara hili bao la pili la Vargas ni tamu balaa kitu cha mitaa kadhaa
Kipa wa Peru naye kiazi tu...
Atakua alijaa upande mmoja
Vargas leo akitulia tunaweza pata hat trick ya kwanza hapa.....
Kuna mtu anaitwa Jose Paolo Guerrero wa Peru ashatupia hat trick...
Siku hiyo hawa Peru walimuumiza Bolivia 3 - 1...