Special Thread, COPA America 2015

Special Thread, COPA America 2015

Wenger ajifikilie tena mara mbili mbili kuhusu ospina ni bonge moja la kipa
 
Ospina ameshaokoa magoli mawili sasa ya maana, kwanini Arsenal wanamtaka kumuuza lakini? Mimi naona wanaipoteza hazina
 
Refa kanichekesha kweli. " ....referee is not making many friends in this match."
 
Wenger ajifikilie tena mara mbili mbili kuhusu ospina ni bonge moja la kipa

Yaani acha tu anamng'ang'ania babu wakati ana damu ya kijana iliyo ya moto kabisa,mimi natamani hata Man U tumchukue DDG akiondoka....
 
Ospina ameshaokoa magoli mawili sasa ya maana, kwanini Arsenal wanamtaka kumuuza lakini? Mimi naona wanaipoteza hazina

Cech anataka awe namba moja ktk mkataba atakaosain arsenal das y
 
Halafu mechi haina extra time hii. Wakitoka level ni matuta straight foward.
 
*clears throat* hivi Kirikuu yupo kweli? *evil grin*

Hahahaha!!! Yupo kama kawa anafanya yake.....wewe nichokoze tu!!!...but thank you am smiling after seeing you here..........hope umekuja na neema kwa Arg na Messi atatupia lake.....lol
 
Nimekosa 1st 45 minutes, jirani alizuga hasikii hodi zangu, kuna watu wana roho ngumu sana, smh! Ila kwa hisani yenu hapa, nafuatilia yote yanayojiri
 
Hahhaa.. pole sana mkuu, ungemwambia hata kama tv ni ya kwako lakin umeme sio wa BABAKO
 
Hahahaha!!! Yupo kama kawa anafanya yake.....wewe nichokoze tu!!!...but thank you am smiling after seeing you here..........hope umekuja na neema kwa Arg na Messi atatupia lake.....lol

Hehe nimekuja baada ya kukuona pia. Mchezaji kutoka galaxy nyingine haitaji neema bana, hizo tunahitaji sisi binadamu. Timu bora na ishinde
 
Ahaaa mbna wanataka kutuumizia tena beki wetu mtarajiwa wa man utd...
 
Hehe nimekuja baada ya kukuona pia. Mchezaji kutoka galaxy nyingine haitaji neema bana, hizo tunahitaji sisi binadamu. Timu bora na ishinde

Hahaha!! Mpige James chini tushangilie Arg....... Yaani wakitolewa nitalia sijui utanipa handkerchief gani ya kutosha machozi yangu
 
Back
Top Bottom