Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
Hahahah!! Njoo kwangu ......
Sasa hii mialiko unatoa mapema mama, halafu sio hadharani hivi, watajaa na wengine hata kama wana access za game.
Hahahah!! Njoo kwangu ......
Hahaha!! Mpige James chini tushangilie Arg....... Yaani wakitolewa nitalia sijui utanipa handkerchief gani ya kutosha machozi yangu
Sasa hii mialiko unatoa mapema mama, halafu sio hadharani hivi, watajaa na wengine hata kama wana access za game.
Ohh!!! Kumbe nimekupata.......
Hehe usijali, kubembeleza nimebobea. Hata hivyo, Brazil itakufuta machozi baadae.
Arsenal vs United, wanajuana hao
Hehe lets pretend airplanes were shooting stars then, ingekuwa poa sana.Ohhh!! Thank you...but I want my wishes to come true.....finally Arg vs Brazil
Na mim game ya kesho cna pa kuangalizia😕
Arg wakishinda tu njoo kwa kwa raha zako.....
Na mim game ya kesho cna pa kuangalizia😕
Arg wakishinda tu njoo kwa kwa raha zako.....
Ospina embu achia kidogo tucheke jamani hatutaki matuta siye....
Hehe nimekuja baada ya kukuona pia. Mchezaji kutoka galaxy nyingine haitaji neema bana, hizo tunahitaji sisi binadamu. Timu bora na ishinde