Who is watching FiFa women's world cup
Mhh!!! Huyu refa naye siyo anaminya nyingi sasa
Who is watching FiFa women's world cup
Refa mkoloni huyu...
Ila ndio marefa wa huko kusini mwa Amerika walivyo ni kama wale wa Kiafrika...
Wagumu mno kupiga filimbi za faulo...
Mhh!! Dakika 33 tu kadi 4 mhhhhh!!!!!
Mechi ya leo tunaweza kushuhudia red card
Refaree hizi card sasa ni too much
Asizidishe sasa maana ataharibu mechi mwisho wachezaji watachoka wataanza kufanya maamuzi magumu.
Kadi ya 5 hiyo je atapona mtu kweli hapa?
Kunani huko?