Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
2nd half is underway.
Hapo bila ubishi mwali tungemchukua maana tunatisha....
Di maria nachompendea mimi z the best in assisting,i dnt knw what was the hell when he played for man u
Hehe tuache tu, he's also human, japo wanasema ni Alien muda mwingine.
Tata asipomuingiza Banega mpaka dakika ya 70, siangalii tena hii game.
Si kama vile nyie mnavyosema now CR7 yuko katika galaxy ingine....
Usikimbie bana leo nimekupa majukumu ujue. ....
Hahaha nani kasema hivyo?
Dah! huyu kipa wa Jamaica kaokoa goli la wazi kabisa.
Kumbe hujaona eeeh!! Jana waliipamba kny mitandao hiyo...... Nilicheka sana nikasema hizi team Mess na Ronaldo balaa!!!