BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
- Thread starter
- #641
Inaelekea jamaa walitaka kumpa mkong'oto baada ya game kwisha. Hapa anaonekana akiwa analindwa na FFU.
Na hilo ndo linatakiwa lifanyike sasa sisi tunaweza nin jamani? Hivi hakuna mashindano ya ufisadi labda? .......Juzi nimecheka nilikuwa naskiliza redio moja hapa bongo mmoja wa wasikilizaji akapiga simu akasema anashangaa hao wanaoitwa watanzania walioshinda mbio za magari maana last Sunday kulikuwa na ushindani wa mbio za magari sasa wote walikuwa ngozi nyeupe asili ya Hindi... Akasema itabidi na kwenye michezo mingine hasa mpira tutafute watanzania wa dizaini hiyo maana ndo inaonekana wanaiweza kazi.