Special Thread, COPA America 2015

Special Thread, COPA America 2015

Nilichogundua di maria kwa argentina ana msaada mkubwa kuliko kirikuu
 
Naona kama wajamaica kuna kitu wanakitafuta iv
 
Anaweza kujitengenezea jina na timu kubwa kumtaka huyu kama bado hajasajiliwa na timu kubwa, nimempenda kwa ustadi wake wa kulinda goli.
Ungekuwa ndo Wenger ungempa usajili eh? Halafu nimeskia mnataka kuumuza Ospina vip aisee!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Iv argentina dk za mwisho huwa wanachoka au jamaica ndo imezinduka?
 
LOL! ningemfuatilia kwa karibu kabla ya kumake final decision ila kwa matokeo haya ya leo kajitahidi sana kupunguza kapu la magoli , mie sijasikia hiyo maana karibu kila siku nafuatilia gossip za usajili msimu ujao. Kama ni kweli kuhusu Ospina itakuwa ni makosa makubwa sana, ila MANC wanamtaka sana Wilshere na wako tayari kulipa bulungutu la kutosha. Kwa tamaa ya owners wa Gunners sitashangaa kama wakiamua kumuuza.

Ungekuwa ndo Wenger ungempa usajili eh? Halafu nimeskia mnataka kuumuza Ospina vip aisee!!
 
Yan hata hawa ganjah plantae wanatushinda kimpira.. iv sisi Tanzania n nani alieturoga tukamuombe poh..
 
Back
Top Bottom