Special Thread, COPA America 2015

Special Thread, COPA America 2015

Ohh!! SAA ingine uwe una mingle na watoto utakosa mambo mazuri, siku ukiwa fresh search YouTube uicheki umuone kirikuu mwenyewe anafananaje na mambo yake yalivyo.
Kweli aisee, watoto washkaji zangu sana, sema wanawajua kina Phineas & Co tu. Ngoja nimtafute tena saivi, hilo jina tu ni burudani.
 
Revealed: Lionel Messi's on-pitch selfie with Deshorn Brown - Goal.com - Revealed: Lionel Messi's on-pitch selfie with Deshorn Brown - Goal.com

Hao Jamaa wa goal ni barça tu, kina Carlo, Ben, Kris. Hii issue angeifanya Jamaa yetu wa kudeka yule ingekuwa balaa, sema since Kirikuu ni 'good boy', wana-justify. Waliwahi kutuita Athletes vs Artists(Bayern) last season.

Nyie wakishua ehh!!!.....lol.....uswahilini siku moja moja......

Hehe kumbe na wewe huwa mkorofi, haya bana.
 
Hao Jamaa wa goal ni barça tu, kina Carlo, Ben, Kris. Hii issue angeifanya Jamaa yetu wa kudeka yule ingekuwa balaa, sema since Kirikuu ni 'good boy', wana-justify. Waliwahi kutuita Athletes vs Artists(Bayern) last season.

Hehe kumbe na wewe huwa mkorofi, haya bana.

Hapana kuna wakati mbona wanampondea tu Messi....... Mimi siyo mkorofi nilikuwa nakuchangamsha tu ....lol
 
Brazil leo nawaomba msiniangushe. Unajua huwa naogopa hata angalia mechi zenu maana hamchelewi haribu. Zile saba nazikumbuka hadi leo hata lile moja la juzi laniuma zaidi.
Sijawahi mpenda Neyma ila kama mkifingwa yule jamaa muondoeni kwenye timu maana kama angekuwepo kwenye ile mechi ya Saba Moja hakika tusingefungwa zile goli.
Leo nawaomba onesheni uwepo wenu piga mtu hata goli 100 leo.
Msipofunga leo basi mi naacha shabikia nyinyi maana mtaja niua kwa presha. Na hii nimeiweka kweli kabisa bora nikaishangilie USA wao wanapigana kufa.
 
Msipofunga leo basi mi naacha shabikia nyinyi maana mtaja niua kwa presha. Na hii nimeiweka kweli kabisa bora nikaishangilie USA wao wanapigana kufa.

Hahaha, ni wazi huna roho ya Arsenal mzee. Usiwaze sana lakini, game ya leo watashinda.
 
BRASIL XI - Jefferson; Dani Alves, Thiago Silva, Miranda, Filipe Luís; Fernandinho, Elias; Willian, Coutinho; Roberto Firmino, Robinho
 
Back
Top Bottom