Acha hizo !!!! Yaani anajituma kweli ila magoli yamemkataa kabisa toka siku ya kwanza,malaika wake wa magol kamuacha camp Nou....Anaweza kupiga hata uwanja mzima chenga, akashindwa kufunga. What a break that was
Acha hizo !!!! Yaani anajituma kweli ila magoli yamemkataa kabisa toka siku ya kwanza,malaika wake wa magol kamuacha camp Nou....
haha Kuna jamaa kakabwa ikabidi a-dive, ila sisemi
Semaaaaaaaa