Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
Wanaweza bana wanajitahid...
Hapana bana, wana-struggle hatari kule mbele. Huyo Cavani ni hasira tu kumuangalia
Wanaweza bana wanajitahid...
Anamalizia adhabu aliyopewa baada ya kumng'ata Chielini.
Hapana bana, wana-struggle hatari kule mbele. Huyo Cavani ni hasira tu kumuangalia
Cavani toka mwanzo ndo uchezaji wake huo huo...
HT. 1-1, corners have been the thrills of this game.
Wakati yuko Napoli alikuwa hatari sana golini, sijui kimemkuta nini siku hizi.
Tatizo namba za kuishi zimesogea lazima na makali yapungue
I wish Taifa stars wangekuwa wanatupa raha nami nipigilie vitu vyangu kama hivi kijani, njano,bluu,nyeusi .......ningekuwaje mtamu !!!!! Mcharo angesubiri.,...........hiki kichwa cha mwendawazimu sijui lini tutapona.......
Si nilidhani kadri unavyokuwa na uzoefu na busara zinaongezeka, kama mwenzie Forlan.
I wish Taifa stars wangekuwa wanatupa raha nami nipigilie vitu vyangu kama hivi kijani, njano,bluu,nyeusi .......ningekuwaje mtamu !!!!! Mcharo angesubiri.,...........hiki kichwa cha mwendawazimu sijui lini tutapona.......
Hicho ni kipaji baba wachache ndo wamejaaliwa......