Special Thread, COPA America 2015

Special Thread, COPA America 2015

hili kundi gumu sana yani atakayeshinda next mechi ndiye atakayepita sasa ngoma zote zikienda droo duuuuh
 
Nataka niione Brazil isiyo na Neymar ikicheza mchezo muhimu...

Inabidi wakaze kweli maana Venezeula wagumu sana...

nafikiri mechi ikiwa muhimu na Neymar hayupo wanakulaga goli 7. God forbid.
 
CHG1PHPWQAA5wIG.jpg


Everlenk hebu mlipe huyo​

Hahahhahaha
 
Bado dakika chache mechi ianze kati ya Ecuador na Mexico.
 
Sasa ni wasaa wa Chile na Bolivia, Je Chile ataendeleza ubabe?
 
Chile wameshaumiza mtu tayari mapema dakika ya 3 mfungaji Aranguiz
 
Back
Top Bottom