Special Thread, COPA America 2015

Special Thread, COPA America 2015

Attachments

  • 1434760567579.jpg
    1434760567579.jpg
    21.4 KB · Views: 49
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Mcheza mzuri sana huyu lakini kiburi, uhuni na fujo zinamuharibia sifa yake anapokuwa uwanjani na hasa timu yake inapokuwa nyuma. Asipojirekebisha anaweza kuharibu kabisa hata timu yake ya Taifa ikamsusa.

BAK dogo ndo hivyo tena kelele zishamwanzia,ulimwengu ushaanza kumchukia,umesahau na lile goli lake first match,ana kazi kuja kushafisha doa hili,Brazil wapite tu dhidi ya Venezuela maana lawama zote atazibeba.

From treble winner to troublemaker - Neymar's "monster" has been unleashed - Goal.com - From treble winner to troublemaker - Neymar's "monster" has been unleashed - Goal.com
 
Mcheza mzuri sana huyu lakini kiburi, uhuni na fujo zinamuharibia sifa yake anapokuwa uwanjani na hasa timu yake inapokuwa nyuma. Asipojirekebisha anaweza kuharibu kabisa hata timu yake ya Taifa ikamsusa.

Ni utoto tu akikua ataacha ila alivyoongea na media kuhusu ile red yake mhh!! Kampondea refa .....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Huyu kocha wa chile kamtoa Sanchez na Vidal game imepoa kias fulan
 
Mlimbwende anahamasisha kumtaza unaweza hata ukasahau kama kibendera kimeanguka...

Naona na leo katabiri Chile anashinda...

AWESOME PREDICTION. (at your own risk)

The TV presenter attaches flags of the two competing nations onto her body, and, after jiggling her assets, viewers wait to see which flag falls off first.The flag which stays on the longer is deemed the pre-game favourites.

Forget Paul the Octopus. Venezuelan TV host uses her chest to pick winners in the Copa America [Video] - Football (soccer) highlights, goals, videos & clips | 101 Great Goals
 
Back
Top Bottom