everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
dah connection ilinifanya sio ndio maana hukuniona, naona Dani Alves ali-dive nayo. Jamaa jana wamezingua sijaona, ila tuangalie mbele. Venezuela lazima aumie.
Pole sana jana nilitamani nikutanie lakini duh! Nikaona linanigusa hata mimi...........jana Colombia waliwakamata kabisa Brazil Haya maombi yangu Yale Yale fainaly iwe Brazil na Argentina.........ila Chile nao wanakuja kasi kwelikweli.....