Sasa ngumi za nini bana....aaaah!
Hapa nini tena Neymar na Alves?
Na leo wakifungwa na Neymar tayari ana yellow mbili hivyo mechi ijayo hachezi wanaweza kabisa wakayaaga mashindano katika hatua ya mwanzo kabisa. Wamekosa goli la wazi kabisa.
Neymar red....nani wa Colombia Red....hivi inaruhusiwa filimbi ya game end imelia kisha refa kutoa kadi? Sielewi hapa.....
Wakitolewa Brazil basi utamu wa mashindano utapungua sana pamoja na kuwa wengi tutaendelea kuangalia.
Mnakumbuka incident ya Zuniga kumtandika Neymar kigoti cha mgongo wakati wa World Cup hadi akamvunja...
Nahisi ndio hasira wanataka kuzimalizia leo...
Kwa kunipa pole mimi, inaelekea kambi yako ni Argentina, haya banaa... kushinda mchezo ujao ni lazima vinginevyo kuna uwezekano wa kuyaaga mashindano mapema na hivyo kuendeleza maumivu katika Taifa ambalo linapenda soka kuliko Taifa linguine lolote hapa duniani.
Unapigwa kadi kama kawaida...
Hata shabiki ukizingua refa anakupiga kadi...
Neymar akikua ataacha