Hapa hujasoma btn lines lol.....nimesema pole yetu hata nami linanigusa......
Aiseee!!! Hahahaha hata shabiki!!! Yule wa Columbia ni nani aliyepata red.....
Hahahahaha lol! umeedit wewe haraka haraka baada ya kujistukia, ila naomba Brazil wasiyaage mashindano mapema kiasi hiki. Halafu huyu Neymar naye ugomvi na kiburi uwanjani kinamuharibia sana na si ajabu kinaweza kuigharimu timu.
Carlos Bacca...
Centre foward ya Sevilla hiyo...
Haaaa!! Jamani sijaedit BAK unanisingizia..... Siyo kibur vinatia hasira sana watu wanakukamia kama nini ukiona nawe ndo umeibeba timu loh uvumilivu lazima uwe ziro si unaona hata jana Messi alikuja kuwaka alivyoona vimemzidi.... Ila huku Latin America wanacheza mpira wa rafu sana toka mashindano yaanze kila game ni udava tu.....
Na referees na linesmen wao (latin America) mara nyingi wanashindwa kumudu mchezo hivyo kusababisha vurugu wakati mechi inaendelea na hata ikimalizika. Sasa Neymar kishapewa Red card atakosa mechi ifuatayo na kama watapita atakosa na ya ngwe ijayo, wakitolewa anaweza kabisa kubebeshwa lawama za timu kushindwa kusonga mbele.
Hahahahaha lol! umeedit wewe haraka haraka baada ya kujistukia, ila naomba Brazil wasiyaage mashindano mapema kiasi hiki. Halafu huyu Neymar naye ugomvi na kiburi uwanjani kinamuharibia sana na si ajabu kinaweza kuigharimu timu.
Neymar Jr. ni mchezaji mzuri sana.
Anachoniboa mimi ni hiyo attitude yake.
Halafu anapenda mno kulia lia na kujinagusha na kujifanya kaumia sana.
Akiacha hayo ma extracurricular activities na kulenga katika kucheza soka tu nadhani kiwango chake kinaweza kupanda sana.
Kweli referees nao siyo kabisa..... Mmh!! Mi nawaombea wapite tu maana hizo lawama zake atakazopewa so mchezo.....
Naam nipo hapa mkuu lakini sikuoni na wewe.. .....
Yaani nimeamka kuangalia afu wanarudisha machungu yale yale ya mwaka jana. Hili litimu hili khaaaaa