BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
- Thread starter
- #441
Na leo wakifungwa na Neymar tayari ana yellow mbili hivyo mechi ijayo hachezi wanaweza kabisa wakayaaga mashindano katika hatua ya mwanzo kabisa. Wamekosa goli la wazi kabisa.
Naona kama vile Brasil bado hawaja recover toka kwenye mkong'oto wa mkoloni.....