Special Thread, COPA America 2015

Special Thread, COPA America 2015

Sikuweza kuiona mechi ya Argentina pia lakini kwa matokeo ya 2-2 na kuwasoma wewe na everlenk hapa jamvini inaelekea nao hawakucheza vizuri, hivyo labda kwa kuwa kila timu inajua kupata 3 points ni muhimu ili kuongeza matumaini ya kuingia ngwe inayofuata basi mechi inaweza kuwa ya vuta nikuvute kwa dakika zote 90 au kwa kipindi kirefu katika hizo dakika 90.

Mechi ya leo imekuwa nzuri...

Uruguay hawakucheza sana vizuri mechi yao ya mwanzo sijui kesho mbele ya Argentina watakuaje!!!
 
Last edited by a moderator:
Larissa Riqulme.

CHlG5qLWgAIg876.jpg

CHlGT8eWoAACcTj.jpg
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Bolivia walishinda 3-2

Aisee!!! Kwanza nipe pole wangu jana yaliyonikuta acha tu, nipo kwa likizo ktk mji mmojawapo Tz wenye baridi sana basi nilisikia baridi sana wakati wa Half time nikasema ngoja nipate heat kidogo katika heater yangu ya natural eebana nimekuja stuka ni saa 5:30 am 😀😀😛
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Game nyepesi kwa Paraguay...

Upande wa pili kombe la dunia la wanawake, Cameroun wananikimbizia Switzerland...

Kuna dada anakimbiza upande wa kulia kama Said Maulid SMG...
 
Baridi ukiweka na usingizi plus plus kwa kulala masaa machache ili kuangalia Copa America na natural heater 😛oa, kupitiliza ni kama KAWA, pole sana.

Aisee!!! Kwanza nipe pole wangu jana yaliyonikuta acha tu, nipo kwa likizo ktk mji mmojawapo Tz wenye baridi sana basi nilisikia baridi sana wakati wa Half time nikasema ngoja nipate heat kidogo katika heater yangu ya natural eebana nimekuja stuka ni saa 5:30 am 😀😀😛
 
Baridi ukiweka na usingizi plus plus kwa kulala masaa machache ili kuangalia Copa America na natural heater 😛oa, kupitiliza ni kama KAWA, pole sana.

Vipi uko macho au?
 
Ulitegesha saa everlenk, kwenye kombe la dunia la warembo kuna game ya USA na Nigeria naona hii inanivutia zaidi kuliko Copa America.
 
Last edited by a moderator:
So far it's been a one sided match...

Argentina wametengeneza nafasi kadhaa bila kupata goli...
 
Ulitegesha saa everlenk, kwenye kombe la dunia la warembo kuna game ya USA na Nigeria naona hii inanivutia zaidi kuliko Copa America.

Leo nilitegesha saa na nimeamshwa Maana jana nilivyokuwa nasikitika mpaka nikaonewa huruma.Nawachungulia kiaina, si unajua tena mimi mteja wa Maestro Messi najaribu kumfatilia nione anafanya maajabu gani,usiache kutupia na picha.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
USA walikuja na mkakati wa kupata goli haraka haraka lakini ngome ya Nigeria na kipa wao wanajitahidi sana kuhimili vishindo toka USA sijui kama wataweza kufika HT kabla nyavu zao hazijatikiswa.

Naichungulia kiaina, usisahau kwenda basi lile jukwaa kutupia mapicha picha.
 
Hili kundi limekaa kimitego kweli...

Na baada ya Paraguay kushinda mechi ya Jamaica ndio limekuwa complicated zaidi...

Kwa kweli kundi limekaa kimtego sana,leo Argentina wakaze matako haswaa wasipoangalia wanajiweka pabaya.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom