Special Thread, COPA America 2015

Special Thread, COPA America 2015

Bolivia wanapata goli lingine, ni goli moja safi kabisa.

Ecu 0 - 2 Bolivia
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Dakika ya 54 Chile wanapata penalty Vidal anafunga penalty Chile 3 Mexico 2
 
Dakika ya 66 Mexico wanasawazisha 3-3
 
chile-mexico_19q2z4c81czga112ttia6htimq.jpg
 
Linesman kaminya goli la wazi la Chile (Sanchez) dakika ya 81 bado 3-3
 
Kwi kwi kwi kwi karbu sana Mkuu, ila mke muhimu Mkuu ulimchagua mwenyewe kwa mapenzi yako kwamba huyo ndiye anayefaa kuwa wa kufa na kuzikana hivyo haihusu kitu kumkwaza bila sababu ya/za msingi.

Mm hata siipati hiyo chanel! Kesho nakuja kwako kutazama nianze kumkwaza wife!
 
Full time 3-3, kesho (Wednesday) at 02.20am EAT kutakuwa na mechi ya kukata na shoka Argentina Vs Uruguay

Mechi ya leo imekuwa nzuri...

Uruguay hawakucheza sana vizuri mechi yao ya mwanzo sijui kesho mbele ya Argentina watakuaje!!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom