Special Thread: CECAFA Senior Challenge Cup 2013

Wapi Chuji???????
Hawa jamaa inabidi tuanze na plan B counter attack!so Chuji anahitajika sana kuingia.
 
Dk 65

Kili 0 - 1 Kenya
 
Hapana, huu siyo utetezi kwani wao wanachezea wapi kama siyo mumo humo? Tunashinda! Baada ya dhiki faraja.

sentensi rahisi....uwanja ni mbaya hadi wachezaji wanakosa ball control.....siajsema wachezaji wa kili au harambee,wote wana struggle kwasababu ya utelezi,hio ni fact sio utetezi
 
Teh.. Tamzania bwana.. Sijui tunaweza nn.. Naipenda nchi yangu.
 
Presha tu,mara nyingi tukihitaji ushindi atushindi
 
Dk 70

Kili 0 - 1 Kenya
 
Goal litarudi wakati wowote kuanzia dakika ya 80.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…