duh hawa Kenya hawapendi kabisa mpira! Yaan kauwanja kadogo namna hii na bado hakajajaa halaf National team inacheza! Au kuna threat ya al shabaab nn
Lazima mwenyeji abebwe ukizingatia serikali ndo imedhamini sijui hawana makampuni.Mchezaji wa Kenya anaunawa mpira ndani ya 18, lakini refa anapeta...naona kama kuna mbeleko kwa mwenyeji Kenya
duh hawa Kenya hawapendi kabisa mpira! Yaan kauwanja kadogo namna hii na bado hakajajaa halaf National team inacheza! Au kuna threat ya al shabaab nn
Aming'wana adatogilwe duhu igolu, duhaye giki amanyang'au atogilwe ugukoba emhilya gukila mazungu, bulu mazungu agamadikagaka pa umsiwanja ulusiku lo golu.Wakenya wako after money, wako kazini wakitafuta riziki.
Nawatakia Kilimanjaro Stars ushindi wa 3-0 dhidi ya Chipolopolo.