Special Thread: CECAFA Senior Challenge Cup 2013

Special Thread: CECAFA Senior Challenge Cup 2013

Mapunda ni mzuri kwa kuziona penalti, anaweza kutuokoa.

Tiba
 
Penati...

Nyoni...anakosaaaa
 
Pamoja na kwamba m/kiti wa CECAFA ni mtanzania bado wanatuwekea zengwe.

Tenga ameshindwa kuliona Hilo au kamuachia mikoba Musonye aendeshe mashindano? Musonye ni bogus kabisa anaweza kufanya maamuzi ya kikinga sana ili kuibeba timu anayoitaka.
 
Walusimbi...anakosaaaa
 
kapiga na wauganda juuuuuuuuuuuu..... i see tanzania to the semi final..
 
Samatta....anakosaaaa
 
Back
Top Bottom