Special Thread: CECAFA Senior Challenge Cup 2013

Special Thread: CECAFA Senior Challenge Cup 2013

Dakika zilizobakia hazitoshi hata kwa kuku kumeza punje ya ulezi...

Mpira ukiisha hivi ni matuta...
 
Wataenda penati au wataongeza muda
 
Duh huu mtanange utakuwa wa kufa mtu mi bado nipo kazini kudadeki!
 
Dk 90+3

Uganda 2 - 2 Kili Stars
 
Full Time uganda 2 - 2 tanzania kifuatacho ni matuta tu..
 
Mungu ibariki Kili Stars...

Mungu wabariki wachezaji wa Kili Stars
 
Matuta jamani wadau tushirikiane kuminya mambupu
 
Back
Top Bottom