Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,913
- 67,435
Si ulikuwaga una fwatilia sanaHumo umeniacha bwashee, hizi mambo na sijui mashindano ya urembo zimenipita kushoto
Bwashee bora tuka angalie tech au gun slingers kwenye discovery family channelHumo umeniacha bwashee, hizi mambo na sijui mashindano ya urembo zimenipita kushoto
Huwa kuna mambo naweza fuatilia ila hata sijui sababu ya mimi kufuatilia , binafsi kwenye television napenda chanel za wanyama labda kidogo katuni tuSi ulikuwaga una fwatilia sana
Now naona ni nzuri sanaHuwa kuna mambo naweza fuatilia ila hata sijui sababu ya mimi kufuatilia , binafsi kwenye television napenda chanel za wanyama labda kidogo katuni tu
Wapi Ebubu, ilebaye, tolanibaji, adenkule, kim, criss da cross, ipelengHello
Hii thread ni special kwa Big brother 2025 imeanza ina oneshwa DSTV chanell 198
Je una hisi ya mwaka uhuu itakuwa more na tulizo zoea kuziangalia?
View attachment 3421738
Ndio sababu ya DSTV kupandisha kifurushi kisa hiiSisi wazee hatuelewi kitu
Ahahah na DSTV wanapandisha kifurishi ndio wakat wao wa kupiga pesaWapi Ebubu, ilebaye, tolanibaji, adenkule, kim, criss da cross, ipeleng
Warembo now hamna kabisaWapi Ebubu, ilebaye, tolanibaji, adenkule, kim, criss da cross, ipeleng
Bora tuka mwangalie mzee wa kusema inshallahSisi wazee hatuelewi kitu
πππ ni nzuri jaribu kuangaliaYaan sijui ni ushamba ama vipi, sijawahi fuatilia hicho kipindi kabisa.
Nakuja kwako tuangalie wote.πππ ni nzuri jaribu kuangalia
Karibu sanaa nitakuelekeza mpaka ueleweNakuja kwako tuangalie wote.
Ushangazi wapi wakat bado bint mdogo haya rudi sasaNiliachaga toka kipindi kile cha big brother all stars...
Kina Paloma kina Mwisho Mwampamba kina Uti and others...
Kwa sasa hata TV ni shida kuangalia jamani sijui uzee...au ushangazi??πππ
Bwana weee....wacha ID ziongope....ππUshangazi wapi wakat bado bint mdogo haya rudi sasa