Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

Amatuprove wrong aisee, najua kwa kiwango alichokionyesha Hersi anakazibya ziada
Kabisa.
The Man decided the Match.
Ila Hersi alishakiri kuwa ndio mchezaji waliotumia nguvu kubwa kum'bakisha Jangwani
 

Hapa ndio kuna kazi nzito leo.
Hii Taifa Stars ikiwezekana wafie tu Uwanjani kizalendo.
Kama wenzao wa Mali jana, walichoka sana lakini hawakukata tamaa.
 
Waarabu wameanzia chini.
Kazi ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…