BAGAH
JF-Expert Member
- Jan 17, 2012
- 4,523
- 1,060
duuh ngoja niwe na subra, mpaka mwezi wa 7...
sio mbali bana...kwani mmeshaanza kushindia mikate?
duuh ngoja niwe na subra, mpaka mwezi wa 7...
Thanks too, Mtaly nilistuka baada ya kuona bandiko ! Ok take it cmpo.
Mi najua kwa sasa naitwa Baba , kupata Ugoro haisumbui !
Nikifikia kuitwa Babu ugoro kuupata itasumbua !
Wakati huo na wewe utakua Baba !
Wewe ukijaitwa Baba,
Mie Babu sitosumbuka na Ugoro .
Piga kitabu mdogo wangu.
sio mbali bana...kwani mmeshaanza kushindia mikate?
Hahahahahaa subiri nyanya chungu na BamiaMmh bado ila mboga7 zimepungua mpaka 1 na kachumbari teh teh...
Thanks too, Mtaly nilistuka baada ya kuona bandiko ! Ok take it cmpo.
Mi najua kwa sasa naitwa Baba , kupata Ugoro haisumbui !
Nikifikia kuitwa Babu ugoro kuupata itasumbua !
Wakati huo na wewe utakua Baba !
Wewe ukijaitwa Baba,
Mie Babu sitosumbuka na Ugoro .
Piga kitabu mdogo wangu.
Kumbe amefanya kweli vile alikwambia atafanya eeh!
..nini hiki..!?
Kumbe amefanya kweli vile alikwambia atafanya eeh!
Nadhani safari hii itakuwa ni kwako we Mrs kufanya kama alivofanya mumeo! Lol
teh teh teh kipipi bwana, habari yako?
Kwa niaba ya Kipipi....
Habari nzuri...
Swali jingine
Kwa niaba ya Kipipi....
Habari nzuri...
Swali jingine